MENINAH: HATUENDANI NA DIAMOND PLTNUMZ

Admin Updates10 years ago6 Views




Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Meninah
Abdulkareem ‘Meninah’ amefunguka juu ya tetesi zinazoeneo kuwa na
uhusiano wa chinichini na Nasib Abdul ‘Diamond’ kwa kusema kuwa siyo
levo yake.

Akichonga na paparazi wetu, Meninah anayetamba na ngoma ya Pipi ya
Kijiti alikanusha na kusema kuwa, wote ni mastaa lakini wametofautiana
kwa kiasi kikubwa na kwamba hawezi kuwa naye katika mahusiano ya aina
yoyote.


Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul ‘Diamond’


“Kwanza nilishawahi kukutana naye kwenye shoo tofauti na zote
sikuwahi hata kuzungumza naye chochote, ni staa na mimi staa lakini
tunatofautiana kuwa yeye yupo juu yangu,” alisema Meninah.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.