MAPENZI:HAYA NI MAMBO AMBAYO MWANAMKE ANAHITAJI KUTOKA KWA MWANAUME

Admin Updates10 years ago5 Views


Wapo wanaume hugongwa na magari hivihivi!(Picha kwa hisani ya Buzzle)
Ni mara nyingi sana tunasikia wanaume wakisema
“mke wangu wala huwa simuelewi”
Ni kweli wanaume tunahitaji kujua baadhi ya vitu kuhusu wanawake ili tuweze kuwafahamu zaidi.
Je ni mambo gani wanawake huhitaji kutoka kwa mwanaume?

Wanawake huhitaji mwanaume anayesikiliza zaidi kuliko kutoa jibu tu.Wanaume ni watu wa kutia majibu (problem solvers).
Pia wanaume hujitahidi
kuhakikisha mambo yanakuwa sawa kwa kila mmoja bila kusahau masuala ya
mahusiano hata hivyo kuna wakati na muda wa kutoa suluhisho na pia kuna
wakati ambao mwanaume anatakiwa kusikiliza tu kwa mwanamke.
Kama mke
moja kwa moja amekuomba usaidie kutoa sukluhish la jambo Fulani hapo
haina tatizo moja kwa moja toa jibu an fanyia kwazi.
Ila kama mke anakueleza kitu ambacho amekutana nacho iwe kazini au akiwa na watoto usitoe suluhisho kabla ya kumsikiliza kwanza.
Wanawake
wanahitaji kubwa la kutaka kusikilizwa na hii ndiyo tofauti kati ya
mwanaume na mwanamke, wanaume hutumia ubongo tu hata bila kuongea
kuhakikisha anapata tatizo la issue zake wakati mwanamke hulazimika kuzungumza na kusikilizwa ili kupata jibu laissue yake.
Kama mwanaume hutumii muda ku-discuss mambo
na mke wako hiyo siyo nzuri ndiyo maana anaweza kutumia muda wake
kuongea na rafiki zake kwenye simu kwa sababu hujafanikisha hitaji lake
la kusikilizwa.
Mwanaume unapoongea na mwanamke hakikisha:-
Unapoongea naye kwanza unamwangalia usoni (eye contact) ili ajue unamsikiliza
Anapomaliza kuongea hakikisha unaonesha ulikuwa unamsikiliza hasa kwa kurudia yale ameongea kwa mfano unaweza kusema, “kwa hiyo ulikuwa unaniambia ………”
Then muulize yeye alikuwa anafikiriaje kupata jibu la hiyo issue yake kabla wewe kutoa jibu.
Kufanya
hivyo kutaonesha unajali sana hisia zake hasa suala zima la kusikilizwa
na pia itamsaidia yeye mwenyewe kuangalia ni jinsi gani anaweza
kuhusika kupata jawabu la issue aliyokuwa anakueleza.
Wataalamu
wanasema mwanamke kawaida huongea maneno 45,000 kwa siku na mwanaume
maneno 15,000 kwa siku hivyo ukiwa unamkatisha kuongea na kudakia kwa
kutoa jibu bila kumsikiliza kisaokolojia una muumiza na itabidi atafuta
mtu mwingine wa kuongea naye.

Wanawake wanahitaji mwanaume anayemuhitajiWanawake wanapenda kuona wanahitajiwa na mwanaume.
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.