MAMA SAMIA ATIKISA KWA KAMPENI KATIKA MAJIMBO YA SHINYANGA LEO, ATINGA GEITA KWA KISHINDO

Admin Updates9 years ago5 Views

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama samia Suluhu Hassan akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kamaha mkoani Shinyanga.
 Kada wa CCM ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Makonda,  akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga leo
 Mjumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Kitaifa Chrisopher Ole Sendeka akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kahama mkoani Shinyanga.
 Wananchi wakiwa na bango kumfikishia ujumbe, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia Suluhu Hassan wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyang’wale mkoani Geita
 Mgombea ubunge jimbo la Nyang’wale Hussein Amar akiomba kura wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo hilo mkoani Geita
 Mkuu wa mkoa wa Geita Fatma Mwasa (kulia) akijadiliana jambo na wajumbe wa kamati ya kampeni za CCM kitaofa, Angela Kizigha na Christopher Ole Sendeka katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyag’wale katika mkoa huo leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Nyang’wale mkoani Geita. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
 Wasanii wa kundi la kampeni la Ninesttuka, wakishambulia jukwaa kuhamasisha wananchi wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika jimbo la Kamaha mkoani Shinyanga
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.