Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuwakilisha Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwenye uwanja wa Taifa wa Michezo Jijini Harare Zimbabwe katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa zamzni na muasisi wa Nchi hiyo Robert Mugabe anayetarajiwa kupumzishwa katika nyumba ya makazi yake ya milele leo
from CCM Blog https://ift.tt/34Jjdws
via