Share Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa Mbeya,leo June 28,2021, imemuachia huru kada wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mdude Nyangali maarufu kama “mdude chadema” aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya dawa za kulevya. KITAIFA SIASA