Msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’.Tangu wakati ule msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ aamue kupambana kumsaidia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabali, yaliibuka madai kuwa wawili hao ni wapenzi lakini leo limeibuka la ndoa, Ijumaa lina kila kitu.Madai ya uhusiano wa Lulu na Dk. Cheni yamekuwa yakienea chinichini kiasi cha kuwafanya baadhi ya watu kuamini kuwa, huenda lisemwalo lipo na kama halipo laja.
Lakini Cheni ana mke Hata hivyo, madai hayo yanakuja ikiwa inafahamika kabisa kuwa, Dk. Cheni ana mkewe aitwaye Sabrina Zahrain ambaye wanaonekana kupenda licha ya kwamba imani yake haimzuii kuona mke wa pili.Madai ya ndoa Wakati tetesi za mastaa hao kuwa wapenzi zikizidi kushika kasi, hivi karibuni mtu wa karibu wa ‘wauza sura’ hao alilipenyezea gazeti hili umbeya kuwa, eti uhusiano wao umeshamiri na wana mpango wa kuona.

Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Chanzo hicho kilichoomba hifadhi ya jina lake kilinyetisha kuwa, hata mashabiki wa wasanii hao wakisikia kuwa siku f’lani ndoa inafungwa wasishangae kwani ni jambo ambalo Cheni ameona siyo baya kwake.“Ukaribu wa Lulu ni zaidi ya nyie mnavyojua, Cheni anaingia pale kwa Lulu masaa 24 na ninachojua Dk. Cheni anataka kumuoa Lulu mke wa pili, sasa kama mnataka kujua undani wa hili fuatilieni,” kilidai chanzo hicho.
Dk. Cheni atafutwa
Kufuatia madai hayo Ijumaa lilifanya jitihada za kuongea na Dk. Cheni ambapo alipopatikana alifunguka kama ifuatavyo:“Hivi jamani mimi nikimuoa Lulu kuna shida gani? Yeye si mwanamke na mimi ni mwanaume, sasa tatizo liko wapi, hebu acha mambo yako bwana.
“Halafu ujue mimi ni Muislam naruhusiwa kuoa mke zaidi ya mmoja. Hilo la kwenda nyumbani kwake ni kwamba pale naingia masaa 24, kwani nani wa kunizuia?”
Lulu anasemaje?
Ijumaa baada ya kuongea na Dk. Cheni lilimtafuta pia Lulu kupitia simu yake lakini hakupokea kila alipopigiwa na hata alipotumiwa sms hakujibu. Paparazi wetu pia akafika nyumbani kwake maeno ya Mbezi jijini Dar lakini akaambiwa na mfanyakazi wake wa ndani kuwa ameenda kwenye mishemishe zake.

Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33