LULU MICHAEL ‘MAMBO YAKIMAPENZI YAMEPITWA NA WAKATI KWANGU’

Admin Updates10 years ago13 Views




Stori: Hamida Hassan na Gabriel Ng’osha
MASTAA wana mambo! Mtoto mzuri Bongo
Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa kali ya aina yake kwa kusema
kamwe hatumii nguvu nyingi kwenye mapenzi kwa sababu yanapoteza muda
bila sababu za msingi bora nguvu zake azitunze hadi pale atakapokuwa
akijifungua.



Akimwaga cheche mbele ya mwanahabari
wetu, Lulu alisema siku hizi wanaume wengi wanawafanya wasichana watumie
nguvu kutetea penzi kutokana na migogoro isiyokuwa na msingi.



“Bora nguvu zangu nizihifadhi za kuendea
leba kuliko kuzipoteza katika mapenzi kwani hayo mambo yamepitwa na
wakati kabisa,” alisema Lulu.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...