Kelvin John Atupia Mawili Kombe la FA Denish CUP

Masama BlogMICHEZOKITAIFA7 months ago252 Views

Kelvin John Atupia Mawili Kombe la FA Denish CUP

Mshambuliaji wa Tanzania, Kelvin John ‘Mbappe’ amefunga magoli mawili wakati timu yake ya Aalborg (Aab Fc) ya Denmark ikiibuka na ushindi wa 6-1 dhidi ya Marstal/Rise IF kwenye mchezo wa raundi ya pili wa kombe la FA (Denish Cup Sec)

Kwa ushindi huo Aab Fc ambayo inashiriki Ligi daraja la pili Nchini Denmark imetinga hatua ya 16 bora ya michuano hiyo.

Marstal/Rise 1-6 Aalborg Fc
⚽ 67’ Mikkelsen

⚽ 01’ Helenius
⚽ 33’ Helenius
⚽ 36’ Kelvin John
⚽ 57’ Kelvin John
⚽ 65’ Hansen
⚽ 71’ Ross

SOMA HIZI:

Haji Manara Afunguka Kurejea Tena Kuwa Msemaji wa Simba

Dkt.Emmanuel Nchimbi: Tutaendalea Kuwachukua Wapinzani Wenye Akili Kuja CCM

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.