Kawaida,Jokate na Mwakitinya Wahudhuria Kikao Cha Kamati ya Utekelezaji

Masama BlogSIASA5 months ago219 Views

Kawaida,Jokate na Mwakitinya Wahudhuria Kikao Cha Kamati ya Utekelezaji

Jana 20/08/2025 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ng.Mohamed Kawaida,Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndg.Jokate Mwegelo pamoja na Naibu Katibu Mkuu UVCCM Tanzania Bara Ndg.Musa Mwakitinya wakisalimiana kabla ya kuanza ka kikao cha Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa kilichoongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Jijini Dodoma jana.

Chama ni Vikao 💪🏽

SOMA HII HAPA: Huyu ndiye Jokate Mwegelo,Kiongozi,Mwanasiasa na Mwanamke Shupavu

2 Votes: 2 Upvotes, 0 Downvotes (2 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.