Wasanii wakitumuiza katika Tamasha la Utamaduni na Sanaa la JAMAFEST linaloendelea kufanyika katika uwanja wa Taiafa jijini Dar es Salaam. Ikiwa Tanzania ni mwenyeji wa Tamasha hili.
Kikundi cha Ngoma za asili hapa nchini ngoma ya unzinza kutoka Buchosa Sengerema jijini Mwanza wakitumbuiza katika tamasha la Jumuia ya Afrika Mashariki la JAMAFEST linaloendele kufanyika jijini Dar es Salaam katika Uwanja wa Taifa.
Baadhi ya banda la utamaduni na sanaa katika maonesho ya Utamaduni na Sanaa kwa Nchi za jumuia ya Afrika Mashariki linalofanyika jijini Dar es Salaam Septema 21 hadi 28.
Picha ya Kuchorwa.
Kikundi cha Ngoma za asili kutoka Kukoba.
Kikundi cha Ngoma ya asili kutoka Rwanda wakijiaanda kwa kutumbuiza.
Kikundi cha Ngoma ya asili kutoka Mkoani Mbeya wakitumuiza katika tamasha la nchi za Juia ya Afrika Mshariki la Utamaduni na Sanaa la JAMAFEST linalofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Uremo uliotengenezwa na karatasi za kalenda katika banda la watu wa nchini Uganda. Hii ni katika Tamasha la Nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki la JAMAFEST linalofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mabanda ya kuonesha bidhaa za kiutamaduni na sanaa za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki linalofanyika jijini Dar es Salaama katika uwanja wa Taifa.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/35cotcm
via

























