KAMA HUJUI KUMBE HII NI MOJA YA SABABU KUBWA ZA DIAMOND KUWAPAGAWISHA ZAIDI ‘MA GIRLFRIENDS’ ZAKE ! IPO HAPA
KAMA HUJUI KUMBE HII NI MOJA YA SABABU KUBWA ZA DIAMOND KUWAPAGAWISHA ZAIDI ‘MA GIRLFRIENDS’ ZAKE ! IPO HAPA
11 years ago142 Views
Share
Diamond
Platnumz ameshare na mashabiki wake kuwa yeye sio mahiri wa studio na
jukwaani peke yake, lakini ana kitu kingine ambacho huenda kikawa moja
ya sababu za kuwapagawisha zaidi wasichana anaokuwa nao kwenye
mahusiano.
Hivi
karibuni amepost picha akiwa jikoni anapika huko Bangalore, India aliko
sasa. Wasichana wengi hupenda sana kuona mwanaume anafanya kazi ambazo
baadhi ya wanaume huona ni za kike.