Wafanyakazi wa Airtel wakimuhudumia Inspecta Jenerali wa Polisi (IGP) Saimon Sirro ili kuhakiki usajili wa laini yake ya Airtel kwa kutumia Alama za vidole leo katika Makao makuu ya polisi jijini Dar es salaam ambapo Airtel inaendelea na zoezi la usajili na uhakiki wa laini za simu kwa kutumia Alama za vidole kama ilivyoagizwa na mamlaka ya mawasiliano TCRA kuwa hadi kufikia Dec 2019 laini zisizohakikiwa kwa mfumo wa alama za vidole (Biometria) zitafungwa.
from MICHUZI BLOG http://bit.ly/2WZu6Go
via


