Baada ya mtandao wa Instagram kufanya zoezi la kuzifuta akaunti fake Jumatano wiki hii, mwimbaji wa Canada, Justin Bieber alikuwa miongoni mwa mastaa walioathirika kwa kupoteza idadi ya followers milioni 3.5 na kumfanya apoteze sifa ya kuwa mtu mwenye followers wengi zaidi kwenye mtandao huo.Kim Kardashian ambaye pia licha ya kupoteza followers milioni 1.5 kwenye zoezi hilo, lakini amempiku Bieber na kuwa ndiye mtu mwenye followers wengi zaidi katika mtandao huo kwa sasa.
Kwa sasa Kim Kardashian West ana followers 22,298,938, huku Justin Beiber akibaki na followers 20,336,350.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33






