HUU NDIO UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA MSANII BELLE 9

Admin Updates8 years ago6 Views

Mastaa wa muziki, filamu pamoja na viongozi wa serikali Jumamosi hii walipamba usiku wa uzinduzi wa video mpya ya Belle 9 ‘Give IT TO ME’.
Tafrija hiyo fupi ambayo iliandaliwa na kampuni ya muimbaji huyo,Vitamin Music Group Limited, iliwakutanisha wadau mbalimbali wa muziki pamoja na waandishi wa habari.


Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ni mmoja kati ya viongozi wajuu waliohudhuria uzinduzi huo.
Akiongea katika uzinduzi huo, Belle aliishukuru team nzima ya Vitamin Music Group Limited kwa kufanikisha tukio hilo pamoja na wadau mbalimbali ambao walijitokeza usiku huyo kwa ajili ya kumsupport. Angalia picha
Navy Kenzo wakiwa ndani ya nyumba
Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiteta jambo na Diwani wa kata ya Mwanga Kigoma, Baba Levo
Millard Ayo akishow love na mdau
Joh Makini akiwa na Mx Carter
Mbunge Ridhiwani Kikwete (kwanza kulia) akiwa na mmoja kati ya wafanyakazi wa Vitamin Music Group Limited (katikati) pamoja na Joh Sambila (kwanza kushoto)




SHARE 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.