
Emmy Awards ni tuzo zinazotolewa kwa mastaa wa filamu kila mwaka, Na ninafahamu kuna watu wangu ni wapenzi kufatilia tuzo kama hizi za mastaa wa filamu mbalimbali za nje.
Usiku wa September 18 2016 zimetolewa tuzo za 68 za Emmy ndani ya Microsoft Theater, Downtown Los Angeles Marekani ambazo zimeshikilia headlines kwenye mitandao mbalimbali ambapo staa mmiliki wa album ya ‘Lemonade‘ Beyonce Knowlesalitakiwa kutoa suprise perfomance usiku wa tuzo hizo.
Imeripotiwa na kituo kikubwa cha habari za mastaa, Enews cha marekani kuwa staa huyo alitamani kuwepo katika tuzo hizo lakini hakuwa vizuri kiafya na kumfanya ashindwe kufika kwenye tuzo hizo.

Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





