Time
hii nimeona nigeukie kwenye sekta ya movie mtu wangu, hapa
nimekusogezea list ya waigizaji wa movie ambao ndio wamekaa kwenye top
10 ya utajiri mwaka huu 2015 kutoka Industry ya Marekani yaani Hollywood
na India (Bollywood).

Icheki hii list hapa, huenda kuna staa wako unaemkubali yuko hapa…
1. Mel Gibson
Utajiri wa staa huyu wa Hollywood ni kama dola Mil. 600 na kwa mwaka anaingiza zaidi ya dola Mil. 72.
2. Shahrukh Khan
Staa wa Bollywood, utajiri wake ni dola Mil. 600 sawa na Mel Gibson.. Anaingiza jumla ya dola Mil. 72 kwa mwaka.
3. Jack Nicholson
4. Sylvester Stallone
Wengi wanamfahamu kama ‘Rambo‘,
staa wa Movie za action Marekani. Jamaa nae yumo yani, utajiri wake ni
kama dola Mil. 400, bado kwa mwaka ana wastani wa kungiza dola Mil. 48
kwa mwaka.
staa wa Movie za action Marekani. Jamaa nae yumo yani, utajiri wake ni
kama dola Mil. 400, bado kwa mwaka ana wastani wa kungiza dola Mil. 48
kwa mwaka.
5. Tom Cruise
Utajiri wake ni dola Mil. 380, bado anakusanya mkwanja wa kutosha yani, kwa mwaka ni kama dola Mil. 46.
6. Johnny Depp
Yuko nafasi ya sita, utajiri wake ni dola Mil. 350.. kwa mwaka bado ana kipato kinachofikia dola Mil. 42.
7. Tom Hanks
Mbali na kuwa actor maarufu duniani, aliwahi kuwa Governor wa California kuanzia
mwaka 2003 mpaka 2011. Yuko nafasi ya nane, utajiri wake ni kama dola
Mil. 300, bado anapiga kazi na anakadiliwa kuingiza kama dola Mil. 36.
mwaka 2003 mpaka 2011. Yuko nafasi ya nane, utajiri wake ni kama dola
Mil. 300, bado anapiga kazi na anakadiliwa kuingiza kama dola Mil. 36.
9. Michael Douglas
Jamaa ni kama wanalingana na Arnold hivi, nae ana utajiri wa dola Mil. 300 pamoja na kuingiza dola Mil. 36 kwa mwaka.
10. Adam Sandler
Huyu jamaa ni mmoja ya mastaa wa Hollywood, kaonekana na kwenye Movie ya Grown Ups2 pamoja na mastaa wengine kama Chris Rock. Utajiri wake ni dola Mil. 300, kwa mwaka pia kipato chake ni kama dola Mil. 36, sawa na Michael Douglas.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33