![]() |
Celion Dion umri 46 |
Ukiwaangalia ni kama wana umri wa miaka 25 ila ukweli ni wana umri
mkubwa sana na wanafanya kazi kama kawaida yote ni kutokana na matunzo
ya miili yao, vyakula, mazoezi, kupumzika sana, na upendo ndani ya nafsi
zao kitu kinachowafanya wazidi ku-shine hadi leo, swali kwa wasanii wa
Afrika wanaweza ku- maintain miili yao na kuwa kama wasanii wa mbele?