Hans Rafael asema Mpanzu Hamfikii Pacome Kwenye Quality Uwanjani

Masama BlogMICHEZO8 months ago228 Views

Hans Rafael asema Mpanzu Hamfikii Pacome Kwenye Quality Uwanjani

MCHAMBUZI wa michezo Hans Rafael amesema kuwa “Jana niliulizwa swali kwamba pale Simba kuna mchezaji Mwenye quality ya Pacome?”

Nikajibu “hapana,Simba hawana mchezaji mwenye hiyo quality ingawa Mpanzu ana mfanano kidogo na Pacome ila hana quality ya Pacome hata Wana-Simba wanajua hilo”

“Pacome ni mwalimu wa mpira Tanzania ana X-Factor ya kuamua mechi kubwa na ndogo.”

SOMA ZINGINE HAPA

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.