IMEVUJA! Baada ya uhusiano wake na Mbongo Fleva, Malick Bandawe
kuvunjika, staa wa sinema Bongo, Rose Ndauka kwa sasa anadaiwa kuzama
kwenye penzi zito la Prodyuza wa Bongo Fleva, Emmanuel Saimon Sewando
‘Manecky’.

Kwa mujibu wa chanzo, kwa muda mrefu wawili hao wamekuwa wakionekana
sambamba kama kumbikumbi hasa nyakati za usiku katika maeneo tofauti
ikiwemo studio ambayo Manecky anafanyia kazi zake na sehemu nyingine.
“Rose na Manecky ni wapenzi kwani muda mwingi wako pamoja, wanaongozana
kama kumbikumbi hasa usiku. Huwa tunawaona wanakuja maeneo ya hapa
Afrika Sana wanakwenda kununua chakula cha jioni huku Manecky akijinadi
kuwa ameamua kuwa na Rose kwa kuwa mke wake halali hivi sasa ni
mjamzito,” kilisema chanzo hicho.

Mara baada ya kupata taarifa hizo, mwandishi wetu aliwatafuta wawili hao
ili kuweza kujibu tuhuma hizo ambapo Manecky alipopatikana alikanusha
na kudai ukaribu wao unaletwa na kazi. “Ukaribu wangu mimi na Rose ni
kazi tu kwani kuna ‘project’ tunaifanya nadhani mwenyewe Rose ndiyo
anaweza kuweka wazi hilo, kingine Rose anafanya kazi na mdogo wangu
kwenye gazeti la Rozzie la mtandaoni,” alisema Manecky.

Alipoulizwa kama ameamua kutembea na Rose kwa sababu mkewe ni mjamzito,
Manecky alizidi kusisitiza kuwa si kweli. “Hamna kitu kama hicho
jamani.” Ili kupata upande wa pili, mwanahabari wetu alimvutia waya Rose
ili kujua anazungumziaje tuhuma hizo likiwemo suala la kuonekana na
Manecky mara kwa mara, naye aliruka viunzi:

“Hakuna kitu kama hicho jamani, kwani mimi nachaguliwa mtu wa kukaa
naye? Acheni kusikiliza maneneo ya watu halafu Manecky ana mke ambaye ni
mjamzito na anatarajia kujifungua muda wowote,” alisema Rose. Rose na
Malick kabla ya kumwagana miezi michache iliyopita, walidumu kwenye
uhusiano kwa miaka kadhaa na kufanikiwa kupata mtoto mmoja.

-GPL
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33