Ex wa Karen Atoa Ukweli wa Kupelekena Polisi kwa Karen na Petit

Special Correspondent6 years ago6 Views

Ex wa Karen Atoa Ukweli wa Kupelekena Polisi kwa Karen na Petit

Mapalaala amefunguka na kuamua kuonga ukweli wote juu ya kile kilichotokea sikuchache zilizopita baada ya kusambaa kwa picha ya petit akiwa polisi na mpenzi wake karen huku ukiripotiwa kuwa wawli hao walifumaniana.

Mapalala ambae aliwahi kuwa mpenzi wa karen hapo awali na kwa sasa ni mpenzi wa mwanadada alice kutoa THT amefunguka na kusema kuwa ni kweli kuwa Karen na Petit ni wapenzi kwa sasa hata kama watu hao wamekuwa wakikanusha katika mitandao.

Mapalala anasema kuwa siku ya tukio alipigwa simu kwenda sehemu kwa rafiki na ndipo alipokuata pia karen yupo kule lakini kitu cha kushangaza ni kwamba , Petit alipompigia simu Karen na kujua huyo kwa Alice alishangaa kwa sababu alice ana uhusiano na Mapalala ilhali mapalala ni ex wake na karen.

Hata hivyo inasemwa kuwa petit alikuja akiwa amepanic tayari na kuanza kumpiga Karen kitu kilichofanya yeye kuataka kuamua ugomvi lakini ilishindikana kwa sababu ya matusi ya hasira za Petiti.

hata hivyo , alipigiwa simu na kuitajika kituo cha polisi ndipo alipomkuata petit pale na aliwekwa ndani kwa kosa la kumuibia petit kitu ambacho sio cha kweli.Hata hivyo mapalala anasema kuwa alishangaa asubui alipokuja kutoka anaambiwa kuwa aliemtoa ni petit mwenyewe wakati ndie aliemfungulia kesi.

Mapalala anasema kuwa pamoja na kwamba hayo yote yameisha lakini bado anapanga kitu kwa petit na anajua jinsi ya kumaliza tatizo hilo.

from UDAKU SPECIAL BLOG http://bit.ly/2S1drn4
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.