EDWARD LOWASSA ATAJA KILICHOMPELEKA CHADEMA..ATOA SIRI NZITO HEBU MSIKIE HAPA

Admin Updates9 years ago7 Views

Lowassa: Nataka nichukue fursa hii kuwapongeza wale wenzangu waliojiunga nami, maamuzi magumu lazima yafanyike.
Lowassa: Watanzania wajue katika muungano huu tuna nguvu kubwa, nguvu ya kuweza kuchukua dola asubuhi oktoba 25.
Lowassa: Marafiki zangu na ndugu zangu mlioko Z’bar nawaambia hadharani kwamba nimejiunga na mtu ambaye havunji muungano
Lowassa: Kwa watu ambao wamehangaika juu ya nchi hii ni viongozi wa dini, Gwajima, Kakobe na wengine asanteni sana.
Lowassa: CHADEMA ‘I came to join you for a reason; , kuwaondoa CCM madarakani
Lowassa: Nataka kuwahaidi kuwa nitapita kila jimbo la nchi hii, kwahiyo unapoondoka hapa kajiandae katika jimbo lako.
Lowassa: Niliwahi kuwaambia waandishi wa habari kwamba sina msamiati wa kushindwa
Lowassa: Mchaka mchaka …..chinja… Aluta continue ..Nawashukuruni sana kwa kunisikiliza. Tutakutana kwenye majimbo
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.