DUUH:HEBU ANGALIA HIKI KIVAZI CHA LULU CHAONYESHA TATOO YAKE YA JUU YA KIUNO

Admin Updates10 years ago5 Views





Hivi majuzi mwanadada LULU aliweka picha matata (icheki hapo juu)
ambayo iliwafanya Followers wake kwenye ukurasa  wake watoe comments na
like za kutosha kutokana na kile ambacho wengi walidai kuwa picha hiyo
ni NOUMA. 

Muigizaji Diana Elizabeth Michael kama anavyojiita kwenye ukurasa
wake wa INSTAGRAM, maarufu kwajian la  LULU ni mmoja kati wa mastaa wa
Bongo movie wanaotumia kurasa zao kwenye mtandao wa INSTAGRAM ku-Share
nasi picha zao, stori  na jumbe mbalimbali .


 

Comment za   vidume wengi walionyesha  kupagawa na urembo wa
mwanadada huyu na kuishiakumsifia hadi kupitiliza ili mradi kila mmoja
akitoa lake la moyoni. Vile vile wadada pia hawa kuwa nyuma kutoa
comments zao za kumsifia jinsi alivyo SHINE na kuwa TAG ma best zao kama
kawaida. Bila kuwa sahau wapondaji wachache….


Kama unavyoina hapo juu, nimwanadada Lulu amevalia Ki-sketi kifupi
cha kitenge chenye maua maua   ambacho  kimemuacha wazi sehemu yote na
miguu na pagaja kwa kiasi Fulani huku juu ametupia ki –t-shirt  cha
rangi nyekundu ambacho kinamandishi meusi, kiki muacha wazi sehemu za
juu kidogo ya kiuno na hivyo kuonyesha tatoo yake iliyopo juu kidogo ya
kiuno upande wa ubavuni….


Mara nyingi tatoo ile ya juu mgongoni na ile ya juu kifuni ndio huwa
zinaonekana mari nyingi kwenye picha zake.


0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.