CHEKI HAPA JINSI WEMA NA PENNY WALIVYOMKEJELI DIAMOND PLATNUMZ WAWATU….

Admin Updates10 years ago5 Views



Stori: Imelda Mtema
Mastaa
wawili hapa Bongo ambao huko nyuma walikuwa katika bifu kali, Wema
Sepetu na Penny Mwingilwa wameonekana kumkejeli aliyekuwa mpenzi wao,
Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kutumia neno Project.


Staa wa bongo Penny Mwingilwa, ‘penny’.
Mastaa
hao walionekana wameweka picha yao wakiwa pamoja wamejilaza chini
nyumbani kwa Wema na kuandika kuwa wakiwa katika Project yao neno
ambalo lilitumiwa na Diamond akiwa na mwanadada Zarina Hassan ‘Boss
lady’ anayedaiwa kutoka kimapenzi na mwanamuziki huyo.


Staa wa filamu bongo, Wema sepetu ‘ Madam’.
Gazeti
hili lilifanikiwa kuzungumza na Penny kwa njia ya simu ambapo alisema
kuwa siku hiyo walikutana na kuzungumza na rafiki yake huyo wa muda
mrefu na mambo ya project yalitokea tu.

“Sisi tulimisiana sana na tulikutana na kuzungumza mambo mengi ya zamani, hiyo project iliingia tu,” alisema Penny.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.