CCM Hatari kila Kona..Soma hii Taarifa Mpya Toka kwa Mbunge wa Dodoma(CCM)Mhe.Anthony Mavunde..

Admin Updates8 years ago5 Views

Image may contain: 1 person

TULIAHIDI NA SASA TUNATIMIZA

Kesho saa 3 asubuhi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi katika Hafla fupi ya uzinduzi wa Mpango wa Ugawaji wa Ipad 5000,laptops na projectors kwa Shule 10 zilizopo ndani ya Jimbo la Dodoma Mjini.

Ipad “vishkwambi” hizo ambazo zitakuwa zinahifadhiwa mashuleni,zitawekwa vitabu vya kusomea ambavyo vinaenda sambamba na mtaala wa elimu ya msingi na hivyo kumrahisishia mwanafunzi namna bora ya kujisomea vitu vingi kwa wakati mmoja.

Ninaamini kupitia mpango huu wa matumizi ya kiteknolojia ya kisasa itasaidia kuwafanya wanafunzi wengi zaidi kushiriki katika kujisomea na hivyo kusaidia kuongeza maarifa zaidi miongoni mwa wanafunzi.

Anthony Peter Mavunde
Mbunge Jimbo la Dodoma Mjini

Mtumishi wa watu “De populo servorum”

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.