Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy akiwa na familia yake (juu) pamoja na Dr Lucy Shule wa NDC (Kulia) na Dr Vicensia Shule wa UDSM (chini) mara baada ya Brigedia Jenerali Mkeremy kutunukiwa Shahada ya Uzamili katika chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC) leo Jumamosi Julai 27, 2019. Mgeni rasmi kwenye mahafali hayo yaliyofanyika Chuo Cha Ulinzi Kunduchi jijini Dar es salaam alikuwa Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/32UkZKn
via


