BREAKING NEWZ:Treni ya Mwendokasi ( SGR) Kutoka Dar Mpaka Dodoma Kuanza Safari Tarehe Hii

Admin Updates1 year ago4 Views

 Treni ya Mwendokasi ( SGR) Kutoka Dar es salaam Mpaka Dodoma Kuanza Safari Tarehe Hii

Waziri wa Uchukuzi Mhe.Prof. Makame Mbarawa amesema safari ya Treni ya Mwendokasi ( SGR) kutoka Dar es salaam mpaka Dodoma inatarajiwa kuanza July 25,2024.

Mbarawa amesema hayo baada ya kufanya ziara ya kukagua miundombinu ya SGR kipande cha Dar es salaam na kujiridhisha kuwa treni hiyo itaanza kwakuwa maandalizi yanaendelea vizuri “Nimekagua miundombinu ya madaraja na vivuko pamoja na treni kazi inakwenda vizuri na July 25,2024 tunatarajia kuanza safari ya Dar es salaam mpaka Dodoma”

Waziri Mbarawa amesema nauli ya treni hiyo itakuwa rafiki kwa kila Mtanzania na kila Mtu ataweza kusafiri kuanzia daraja la kwanza mpaka daraja la tatu na katika kuhakikisha safari ya treni hiyo inaanza bila kuwepo changamoto Mbarawa amesema kuanzia mwezi June itaanza safari ya Dar es salaam mpaka Morogoro na mifumo ya tiketi itakuwa tayari na kutoa wito kwa Watanzania kuanza kusafiri kwa treni hiyo.

Kiwanja hiki chenye Ukubwa wa 600 SQM, kinauzwa GOBA Dar es Salaam

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.