Share Facebook Twitter LinkedIn Pinterest Email WAZIRI wa mambo ya Ndani nchini, Kangi Lugola amemuagiza Kamishna Mkuu wa Uhamiaji kuhakikisha ndani ya mwezi mmoja anakuwa na orodha ya majina ya madalali wanouhusika na kuwaingiza wahamiaji harami nchini. from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2YPAWiH via NEWS AND UPDATES