BINTI WA MSANII KAJALA, PAULA AZIDI KUWA MREMBO KAMA MAMA YAKE

Admin Updates10 years ago6 Views




Mtoto wa  msanii wa filamu na Mkurugenzi wa K.

Entertainment

,
Kajala Masanja, Paula Paul ukipenda muite Paulitte. Sasa hivi anaoneka
amekuwa binti mkubwa  na mrembo zaidi….Mbali na kuwa mama yake ni staa
mkubwa kwa upande wa Bongo Movie, baba yake , P. Funk  aka Majani

pia


ni mtayarishaji wa music mkongwe na mwenye mafanikia makubwa kwenye
upande wa Bongo Flava. Paula japokuwa bado yupo shule lakini maisha yake
ya kuwa karibu sana na mama yake kwa ujumla yanamfanya ajuane na
ajulikane sio tu mastaa wengi bali hadi kwa jamii kwa ujumla…..Tunaamini
huyu nae atakuwa staa wa kesho





0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.