BEN POL AFUNGUKA: LATIFA NDIYE MREMBO NILIYE ISHINAYE KWA MUDA MREFU

Admin Updates10 years ago5 Views



Uhusiano na mshindi wa pili wa Miss Tanzania 2013, Latifa Mohamed
wenye miezi tisa sasa, ndio uhusiano mrefu zaidi aliowahi kuwa nao Ben
Pol tangu awe staa ameongea na chanzo makini juu ya mahusiano yake
yaliyopita yalishindwa kudumu kwakuwa wasichana wengi walikuwa na
matarajio makubwa kutoka kwake kwakuwa yeye ni msanii. Sasa hivi tuna
miezi tisa, nadhani ndio the longest relationship, amesema Ben kuhusu
uhusiano na Latifa.
“Unajua nimekutana na watu wa aina tofauti. Nimekutana na watu ambao
labda wanakuwa na expectations kubwa zaidi kuhusu mtu fulani, kwahiyo
akiingia kwenye maisha yako labda kuna vitu ambavyo yeye tayari
alishapicture,labda Ben Pol tutakuwa tunakula bata every weekend,
tunakula bata milioni, tunaenda huku kule everyday. Kwahiyo mtu anaweza
akaja kwenye maisha yako akakuta sio mtu wa hivyo, ni staa ndio lakini
you dont go to clubs

mara kwa mara, you dont do this, you dont do that kama mastaa
wengine. Kwahiyo mtu anakuwa disappointed anatoka kwenye maisha yako.
Ndio hicho ambacho nimeexperience zaidi kwenye mahusiano yangu
yaliyopita.Kwahiyo ukipata mtu ambaye akakuelewa hivyo, inatia moyo
kidogo. Ben Pol amesema hata hivyo uhusiano wake na Latifa haujawa rasmi
kabisa kwakuwa bado hajaenda kujitambulisha kwao. Lakini at least
naweza kusema nina hatua moja katika tano au katika tatu.”

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.