BAADA YA LAWAMA KIBAOO,HATIMAYE MSANII CHRISTIAN BELA AFUNGUKA…SOMA HAPA KAULI YAKE

Admin Updates10 years ago5 Views

Na Hamida Hassan
STAA anayewika
na Ngoma ya Nani Kama Mama, Christian Bella ‘Obama’ ameibuka na
kupangua tuhuma za kumuua mwanamuziki wake, Adaya aliyeaga dunia hivi
karibuni kabla Bella hajaenda kufanya muziki nje ya nchi.



Staa anayewika na Ngoma ya Nani Kama Mama, Christian Bella ‘Obama.


Akipiga stori na Amani baada ya kuulizwa
shutuma hizo Bella alifunguka, kuwa yeye hajui mambo ya uchawi wala
hajawahi kuua mwanamuziki wa aina yeyote.




“Watu wanajua kuongea tu ina maana hata
huyo Diamond alivyo juu kwa sasa ameua mtu?, basi kama ushirikina wa
aina hiyo ungekuwepo mastaa wengi wangekimbilia huko na kuua wenzao,”
alisema Bella.

Aidha Bella alisema kuwa yeye anavyojua mwanamuziki huyo alifariki baada ya kuugua na alianzia kuumwa Mwanza kwa ndugu zake.

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.