![]() |
| Idriss na Wema Sepetu |
Wema Sepetu leo kupitia ukurasa wake wa Instagram amefunguka mambo mengi na kuonyesha kufurahishwa na wala hajutii kuanzisha mahusiano na Idris Sultan, katika ujumbe wa Wema anasema wazi anampenda Idris si kwa sababu tu na yeye anampenda hapana bali ni kutokana na ukweli kwamba Idris ametengeneza historia nyingine katika maisha yake na kumfanya kuwa mtu bora na kubadili kabisa maisha yake.
Wema Sepetu alizidi kushusha shukrani kwa kijana huyo na kusema ikiwa leo ni siku yake ya kuzaliwa Idris Sultan anataka kumueleza kuwa yeye Wema Sepetu anajiona ni mtu mwenye bahati kumpata yeye kama mtu wake au mpenzi wake na kusema atamtunza na kumheshima kwa muda mrefu sana.
Zifuatazo ni baadhi ya nukuu kutoka kwa Wema Sepetu katika ujumbe wake huo ambao umekuwa ujumbe maalumu kwa mpenzi wake huyo katika siku yake ya kuzaliwa.
” Nimeandika na kufuta karibia mara mia maana kila ninachotaka kuandika najikuta naona hakifai and maybe hakitoshi…. Im busy looking for the Proper words to tell you how I truly feel but naona kama sio…. I thought deep and I jus simply decided to write this Idris I love you, not only because you are my man or because you love me too No…!!! I love you because you make me a Better person, You changed my whole life…. You Complete me” Alisema Wema
“You are the only person That has really made me feel like a woman…. Oh…! I just love you with all my heart… Now before The Clock strikes 12, Let me be The 1st to wish you a Happy Birthday My Love ” Alimaliza Wema Sepetu
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







