Askofu SHOO: Ikifika Hatua ya Kukemea Tusiambiwe Tunachanganya DINI na Siasa

Admin Updates1 year ago9 Views

 Askofu SHOO: Ikifika Hatua ya Kukemea Tusiambiwe Tunachanganya DINI na Siasa

Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema Kanisa hilo linaunga mkono fursa zinazotengenezwa kuwawezesha Wananchi kupata maendeleo kupitia Utawala wa Sheria, Kuheshimu Haki za Binadamu na kuruhusu Demokrasia ya kweli kwa Wananchi na kwenye Vyama vya Siasa

-Amesema “Kama tukiona kuna sehemu hakupo sawa hatutaacha kuwaona, kuwashauri, kukemea na ikifika hatua hiyo tusiambiwe kuwa tunachanganya Dini na Siasa.”

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...