ANASEMA HANIPENDI NILIVYO, ILA KWASABABU NAMUFIKISHA KILELENI BASI NDIO SABABU YA KUWA NA MIMI..NAOMBA USHAURI

Admin Updates9 years ago5 Views

Wakuu nimekuwa na Mchumba wangu takribani miaka miwili sasa, Nikiwa katika hatua ya kukataa shauri nimuoe kabisa nimweke ndani nikapenyezewa kaumbea kutoka kwa shoga yake kuwa huyu mchumba wangu kamwambia kuwa hanipendi nilivyo ila sababu ya kuwa na mimi muda wote huo ni kwasababu namfikisha kileleni ipasavyo kitu ambacho amekikosa kwa wanaume wote ambao amewahi kuwa na mahusiano nao…

Sasa Je Kweli Mwanamke wa Hivyo Napaswa Kumuoa ? Naombeni Ushauri 
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.