- Home
-
- Abbas Mtemvu Aongoza Kura za Maoni CCM Jimbo la Temeke
Abbas Mtemvu Aongoza Kura za Maoni CCM Jimbo la Temeke
Abbas Mtemvu ameongoza kwa kura 203 katika Jimbo la Temeke akifuatiwa na Doris Kilave kura 182 huku watatu akipata kura 40. Idadi ya waliopiga kura ni 367.
Mbunge aliyemaliza muda wake Abdallah Mtolea amepata kura 22.
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News