BREAKING Newz: Simba Wamsajili Jembe Kutoka Cameroon Willy Onana

2 years ago103 Views

 

BREAKING: Simba Wamsajili Jembe Kutoka Cameroon Willy Onana
Willy Essomba Onana
Simba SC imekamilisha usajili wa Mshambuliaji Kivuli (False number nine) Willy Essomba Onana (23) Raia wa Cameroon kutokea Club ya Rayon Sports ya Rwanda.
Onana amesaini Mkataba wa miaka miwili kuitumikia Simba SC na ana uwezo wa kucheza namba zaidi ya tatu uwanjani, winga zote mbili na kucheza nyuma ya mshambuliaji namba 10.
Msimu uliopita Onana aliibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Rwanda akiwa na magoli 16 na assist 5 lakini ni Mshindi wa tuzo ya Mchezaji bora wa Msimu nchini Rwanda yaani MVP
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.