Msanii @diamondplatnumz aliwahi kusema “Siachi pengo mpaka waombe poo” kwenye moja ya line kupitia freestyle ya ‘All The Way Up’ wimbo wa French Montana.
Sasa hiki ndicho kinaenda kutokea baada ya kusema kuwa nyimbo zitaendelea kutoka back to back mpaka mashabiki wenyewe wasema inatosha.
Tamko lake hilo limeambatana na shukrani zake kwa mashabiki ambao wanampa nguvu ya kuendelea kuibeba Tanzania mabegani kupitia muziki.
“Ahsante kwa upendo, kama ambavyo nilisema, ndio kwanza tumeanza. Ni Mvua ya Mawe hadi kuhakikisha mashabiki wenyewe mnasema jamani inatosha”.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33







