Msanii Nakaaya Alia na Wanaume Mtoto Akikua Atanitafuta

2 years ago117 Views

Wanaume wengi wanatumia sababu mbalimbali ili kukwepa majukumu kama Baba kwa sababu wanaongea na wako proud wanasema Yule ni Mtoto wangu tu atanitafuta akikua. Sio kauli nzuri”
“Baada ya Ngoma ya Mr. Politician nilipotea kwa sababu kuna vitu vingi Sana vilitokea. Nilihama Dar es Salaam nikahamia Arusha na kujaribu vitu vingine. Arusha ni nyumbani. Nilipata ujauzito ikabidi nikubali hiyo kofia ya umama sasa. Kazi ya Sanaa inahitaji Sana muda na muda Wenyewe ni usiku na ukiwa mama ni ngumu kufanya hiyo kazi ya Muziki na hasa ukiwa ndio inaanza kulea na uzao wako wa kwanza”
“Kila mtu ana sababu yake na kupelekea kuwa Single Parent sidhani kama asilimia kubwa ya Wanawake wanataka wawe single parent lakini inatokea na bahati nzuri au mbaya Mimi ilinitokea mapema sana kwenye ujauzito wangu mwanzoni kwahiyo zile changamoto niliziona mwanzoni, nikakuwa nazo mpaka nikapona” @nakaayasumari, Msanii

 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.