MAPENZI:ZIJUE SABABU 5 ZINAZOSABABISHA UUME KUWA MDOGO (KIBAMIA)…SOMA HAPA KIDUME UFAHAMU

Admin Updates10 years ago6 Views


Mwanamke Akishangaa Maungo ya Mpenzi wake


Kundi kubwa la wanaume ambao wanashindwa kufurahia tendo la ndoa kutokana na kuwa na uume mdogo kupita kawaida…
Wanaume walio na tatizo hili wengi wao
huwa hawana confidence ya kuingia katika mahusiano na wasichana ama
wanawake wanao fahamiana nao kutokana na kuogopa ” siri” zao kujulikana
hususani pale uhusiano wao unapofika mwisho..Ikitokea mwanaume akiwa
katika uhusiano na mwanamke “mcharuko” ( asiye mstaarabu ) mwanamke huyo
anaweza kuanza kumvua nguo hadharani kwa kumtangazia kwa watu kuwa na
uume mdogo . ” Mwanaume utakuwa wewe!” na lugha za namna hiyo hutawala
midomoni mwa wanawake hawo….



Matokeo yake sasa wanaume walio na
tatizo hili huamua kutokuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake wanao
fahamiana nao, na badala yake huamua kuanzisha tabia ya kuwa
wanajamiiana na wanawake wanaouza miili yao amakujihusisha na upigaji
punyeto n.k.


NINI CHANZO CHA UUME KUWA MDOGO.

1. Kupiga Punyeto kwa muda mrefu..
Hali hii husababisha kusinyaa kwa uume na hatimaye uume kurudi ndani.
2. Kuugua chango la uzazi.
3. Magonjwa ya utotoni.
4. Kutahiriwa mapema 
5. Kurithi kutoka kwa wazazi :

Wanaume wengine wana maumbile madogo kwa sababu wamerithi maumbilehayo kutoka kwa wazazi wao.
~JamiiForums
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.