


Katika listi ya haraka tumebaini kuwa miongoni kati ya wasanii waliojifungua 2015 miezi kadha iliyopita ni pamoja na Zamaradi Mketema, Snura Mush, Hamisa Mobeto, Mboni Masimba, Aunt Ezekiel, Flara Mvungi, Flora Mbasha nk.

Hongereni kwa maamuzi yenu mazuri ya kutuletea vijana ambao tunategemea nawao waje kuwa mastaa hapo baadaye kama ninyi mlivyo na zaidi, pia hongera na kwako shabiki wa unayependa kutembelea tovuti hii.