KATIKA hali ya kushangaza mastaa mbalimbali na warembo nchini China wameamua kutupia picha zao mitandaoni wakionyesha nywele zao za makwapani katika kushiriki shindano la picha za kwapani kwa wanawake.
Mwanzilishi wa shindano hilo, Xiao Yue anasema uzuri wa mwanamke si lazima asiwe na nywele kwapani na kuongeza kuwa shindano hilo halimaanishi kuwa wanawake wasinyoe nywele hizo ila nia yake ni kuondoa dhana potofu kuwa nywele hizo hazikubaliki kwa mwanamke na kuonekana jambo la aibu kwa wenye tabia ya kuziacha..

Mshindi wa shindano hilo atakayekuwa ametokelezea na kujiamini atapata zawadi nono katika shindano hilo lililoanza Mei 26, mwaka huu.
Mtandao wa Weibo umejaa picha za warembo mbalimbali walioshiriki shindano hilo litakalomalizika Juni 26, mwaka huu wakiwa na furaha kuinua mikono yao juu na kuonyesha makwapa yao yenye nywele kwa dunia nzima.
|
|
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33








