Utafiti: Kukataliwa na mpenzi wako kunaweza kuwa na madhara kwenye uhusiano wako wa baadaye..Jifunze Hapa

Admin Updates8 years ago7 Views

2FED2E4700000578-3390809-image-a-25_1452280702575Watu hubeba mzigo mzito baada ya kukataliwa pale wanapochukulia kama ni kitu kinachowaonesha namna walivyo kama watu, watafiti wamebaini.
Wanasema hisia hizo hasi zinaweza kuwa mzigo kiasi cha kuweza kuharibu uhusiano wa baadaye. Huzuni ya kukataliwa inaweza kukaa kwa miaka na kusababisha matatizo, wamebaini.
Utafiti huo ulifanywa na chuo kikuu cha Stanford.
“Hali ya kuachwa na mtu uliyedhani anakupenda kisha wakabidilisha mawazo, kunaweza kuwa tishia kwa kwako na kunaweza kuwafanya watu wahoji wewe ni mtu wa aina gani,” alisema Lauren Howe, daktari wa saiokolojia kwenye chuo hicho.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Bongo5 
Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.