Hizi ndizo Sababu za Beyonce kutoperform kwenye tuzo za Emmy 2016

9 years ago104 Views

Emmy Awards ni tuzo zinazotolewa kwa mastaa wa filamu kila mwaka, Na ninafahamu kuna watu wangu ni wapenzi kufatilia tuzo kama hizi za mastaa wa filamu mbalimbali za nje.
Usiku wa September 18 2016 zimetolewa tuzo za 68 za Emmy ndani ya Microsoft Theater, Downtown Los Angeles Marekani ambazo zimeshikilia headlines kwenye mitandao mbalimbali ambapo staa mmiliki wa album ya ‘Lemonade‘  Beyonce Knowlesalitakiwa kutoa suprise perfomance usiku wa tuzo hizo.
Imeripotiwa na kituo kikubwa cha habari za mastaa, Enews cha marekani kuwa staa huyo alitamani kuwepo katika tuzo hizo lakini hakuwa vizuri kiafya na kumfanya ashindwe kufika kwenye tuzo hizo.
rs_1024x566-160915101739-1024-beyonce-los-angeles-concert

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.