Dec 24, team nzima ya wasafi ikiongozwa na Diamond Platnumz walifanya show ya kufunga mwaka Dar es laam ambayo ilifanyika Jangwani sea breez. Mastaa mbalimbali kutoka bongo walihudhuria pamoja na wageni kama Vera Sidika wa Kenya, Anitha Fabiola wa Uganda,Kcee wa Nigeria n.k
Nimekusogezea picha 15 kutoka kwenye eneo la tukio mtu wangu.
Shilole