
Shilawadu wamezinyaka za chini ya carpet kuwahusu wasanii wawili wa Bongo Fleva Shilole na Nuh Mziwanda kuwa wameshikiliwa na Jeshi la Polisi huko Kahama mkoani Shinyanga.
Kwa kile kinachosemekana kuwa Nuh Mziwanda alitaka kumtapeli promota ambaye walikuwa wamekwisha kubaliana na kulipana pesa kwa ajili ya kufanya show na baadaye Nuh Mziwanda kutaka kutopiga show hiyo na badala yake kwenda kupiga show nyingine ambayo iliandaliwa na Shilole.
Soudy Brown amepiga story na Promota huyo pamoja na Nuh Mziwanda na wamefugnuka jinsi mchongo mzima ulivyokuwa.
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33





