ZIARA YA MAKAMU WA RAIS MKOANI TABORA

7 years ago89 Views

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, akiwaongoza viongozi kuweka Jiwe la Msingi Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge leo wakati wa ziara yake mkoani Tabora.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia wakazi wa wilaya ya Sikonge leo katika Viwanja vya TASAF.

Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Sikonge wakimsikiliza  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) wakati akiwahutubia leo katika Viwanja vya TASAF.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akitoa neno la utangulizi kabla ya kumkaribisha  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan(hayupo katika picha) ili awahutubie wakazi wa wilaya ya Sikonge leo katika Viwanja vya TASAF. (Picha na Tiganya Vicent)

from CCM Blog https://ift.tt/2SSo8sN
via

0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.