- Home
-
- BREAKING NEWS:MAHAKAMA YABARIKI UWENYEKITI WA PROFESA LIPUMBA
BREAKING NEWS:MAHAKAMA YABARIKI UWENYEKITI WA PROFESA LIPUMBA
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubaliana na uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa wa kumtambua Profesa Ibrahimu Lipumba kuwa Mwenyekiti halali wa Chama cha Wananchi CUF.
Aidha imetupilia mbali maombi yaliyofunguliwa na Maalimu Seif Sharifu Hamad aliyeomba mahakama kutoa amri ya kubatilisha barua ya Msajili wa Vyama ya kumtambua Profesa Lipumba kuwa Mwenyekiti wa chama hicho.
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2T9Gxwo
via
0 Votes: 0 Upvotes, 0 Downvotes (0 Points)
Stay Informed With the Latest & Most Important News