Ujio wa Mbappe Madrid Kuuwa Ufalme wa Vinicius JR, Ingependeza Mmoja Akawa Barcelona

Admin Updates1 year ago6 Views

Kwa mujibu ya mitandao mbalimbali ya kijamii baada ya Mbappe kuaga kuwa ataondoka PSG mwisho wa msimu huu basi atatimkia Madrid na Madrid ndiyo timu iliyopewa nafasi zaidi ya kuwa na Mbappe, hata hivyo taarifa zinaeleza kuwa Mbappe ameandaliwa jezi namba tisa iliyokuwa ikivaliwa na Benzema,
Vinicius Jr teyari ameshatengeneza ufalme pale Real Madrid Kwa kiwango fulani huenda ujio wa wa Kaylin Mbappe ukaenda kuua ufalme huo ambao bado haujaimarika vizuri, jina la Vinicius Jr kuwania tuzo za Ballon d’Or taarifa zinaeleza ni jina ambalo lipo kwenye nafasi nzuri ya kutwaa taji hilo,
Ingependeza Mbappe aende Barcelona ili kuendeleza ule upinzani uliokuwepo kati ya Messi na Ronaldo, au mmoja kati yao aamie upande mwingine hata hivyo ina faida kibiashara,

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.