BREAKING: SIRI yafichuka kuhusu Waziri Jerry Silaa, Mtaka, Mavunde, Bashe na Silanga

Admin Updates11 months ago6 Views

Pichani Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe.Anthony Mavunde  na Mbunge wa Ukonga Mhe.Jerry Silaa wakiingia Bungeni Tarehe 2 April 2023.
Leo 13/07/2024  Anaandika Waziri wa Ardhi Nyumba na Maenedeleo ya Makazi Mhe Jerry Silaa alipokutana na Mhe.Anthony Mtaka – (Mkuu wa Mkoa wa  Njombe)Mhe.Anthony Mavunde (Waziri wa Madini) Mhe.Hussein Bashe (Waziri wa Kilimo) na ,Mhe. Njalu Silanga (Mbunge wa jimbo la Itilima) wakijadili mambo mbalimbali 
pichani hapo chini Jerry Silaa anasema:-

Tukiwa kwenye Ziara ya Mhe Rais Samia Suluhu Hassan leo nimekutana na Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana wa Cahama Cha Mapinduzi UVCCM 2008-2012 (2012-2017 extension)………….Inasemekeana siri kubwa ya viongozi hao ambao wana weledi na uzoefu mkubwa kwa sababu wametokana na chama cha mapinduzi kupitia jumuiya ya umoja wa Vijana.

Tukiwa hapa Inyonga- Mlele- Katavi.

Tumekubaliana na tunamuunga mkono Mhe Rais Kwa nyumba kituo cha kupoozea umeme wa gridi. Yes gridi ya Taifa. Kuanzia September, Dr Samia Suluhu Hassan anafikisha umeme wa gridi Katavi. Majenereta ya diesel yatazimwa. 

FUNZO:
Kila unapokuwa na Lengo hakikisha unamtanguliza Mbele Mwenyezi Mungu kisha simamia Ndoto yako,na Lengo lako…Masama Blog inatoa Hongera sana kwa Viongozi hawa kwa kuaminiwa katika nafasi zao  na kuendelea kuwa walimu wa wengine.

 

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K

Stay Informed With the Latest & Most Important News

I consent to receive newsletter via email. For further information, please review our Privacy Policy

Categories
Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.