Wachezaji Cletus Chama, Dube, Abuya Kuipa Serikali Mamilioni

1 year ago121 Views

 Chama, Dube, Abuya Kuipa Serikali Mamilioni

Uhamisho wa wachezaji wa kimataifa wa Yanga, Cleatus Chama, Prince Dube na Duke Abuya utainufaisha serikali mamilioni ya fedha.

Msajili wa Vyama vya Michezo wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Evordy Kyando amesema kuwa sababu ya kiwango cha uhamisho wa ndani kuwa kikubwa kuliko uhamisho wa nje kuja ndani ni gharama kutofautiana.

Kwa maana hiyo uhamisho wa wachezaji watatu wa Yanga tu Chama aliyetoka Simba, Dube aliyotoka Azam na Abuya aliyetoka Singida utaipa serikali zaidi ya sh milioni nane.

Bado uhamisho wa kimataifa nao utawaingiza fedha zaidi.

Join Us
  • Facebook38.5K
  • X Network32.1K
  • linkedin12.6k
  • youtube23.4k
  • Instagram18.9K
Mchanganyiko

Loading Next Post...
Follow
Sign In/Sign Up Search Trending 0 Cart
Popular Now
Loading

Signing-in 3 seconds...

Signing-up 3 seconds...

Cart
Cart updating

ShopYour cart is currently is empty. You could visit our shop and start shopping.