Amesema kuwa kuchaguliwa katika shule za vipaji hakuwafanyi washindwe kuongeza jitihada ili waweze kufika mbali zaidi.
Hayo ameyasema katika hafla yake maalum kwa ajili ya kuwapongeza wanafunzi waliochaguliwa kwenda shule za vipaji maalum ndani ya Wilaya yake
“Msizembee mkajitahidi Kusoma ili mfikie malengo ,kwa ninyi watoto wakike msikubali mtu awakatishe masomo yenu lazima mfikie malengo yenu ya kufika mbali,”alisema Waryuba
Hata hivyo aliwapongeza wazazi na walimu kwa kushirikiana vizuri na kuwafikisha wanafunzi katika hatua ya kuigwa
“Katika hafla hii nimefarijika kuungana nanyi walimu,wazazi na wanafunzi ili kuwatia moyo watoto wetu ambao wamefanya vzr na kuwapa zawadi”alisema Waryuba
Katika halmashauri ya Tandahimba zaidi ya wanafunzi 30 wamechaguliwa kwenda shule za vipaji maalum.
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Sebastian Waryuba akisistiza Jambo
Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba Sebastian Waryuba akimpongeza mmoja wa Wanafunzi ambao wamechaguliwa kidato Cha kwanza katika shule maalum wakaendeleze vipaji vyao kwa kuweka jitihada katika masomo.
Wageni waalikwa
from MICHUZI BLOG https://ift.tt/2ZHIR2H
via
Recommended Products
-
2025 Summer Rapper Feid Ferxxo Men’s Cotton Fashion Hip-hop T-shirt Casual and Comfortable Short-sleeved T-shirt Street Wear
Affliate products $22.00 -
3 IN 1 Magnetic Folding Wireless Charger Station For IPhone Transparent Fast Charging For IWatch And Airpods
Affliate products -
Grandpa Of Love hoodies Human French Letters Dad Papa Papy Gift Men Clothing hoodies
Affliate products $22.00 -
Sale!
Lenovo D18 Drone 8K Aerial HD Dual-Camera Intelligent Obstacle Avoidance Brushless Power 5G WIFI Screen Remote Control GPS Drone
Affliate products Original price was: $7.99.$7.89Current price is: $7.89. -
Mini Portable Face Cordless Shavers Rechargeable USB Electric Shaver Wet & Dry Painless Small Size Machine Shaving For Men
Affliate products $44.00 -
New Original T75 Bone Conduction Wireless Bluetooth 5.3 Headphones Sports Earphones HiFi Sound Quality Waterproof TWS Headset
Affliate products $3.33









